MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
pata sindano ya tetanus mkuuWakuu leo asubuhi nimeparuliwa kidogo na paka kwa kucha zake...so naombeni ushauri kuna ulazima wa kwenda hospital coz nasikia hawa wanyama mbwa na paka wanasumu Kali sana wakikujeruhi
Ok mkuu so nielekee hospital nowpata sindano ya tetanus mkuu
ndiyo mkuu.Ok mkuu so nielekee hospital now
Mkuu nimeenda hospital daktari akanambia hamna tatizo...kalikua ni ka mkwaruzo kidogo tuAkachome na ant rabies
Mkuu nimeenda daktari akaniangalia akanambia hamna tatizo..hata hivyo kalikua ni ka mkwaruzo kadogo tuMwone daktari faster
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sambamba na hilo wasiliana na mshana jr hwenda ikawa kuna ujumbe wa kimazingira