Msaada wenu tafadhali: Nimeparuliwa na paka

Msaada wenu tafadhali: Nimeparuliwa na paka

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,780
Reaction score
2,555
Wakuu,

Leo asubuhi nimeparuliwa kidogo na paka kwa kucha zake so naombeni ushauri kuna ulazima wa kwenda hospital coz nasikia hawa wanyama mbwa na paka wanasumu kali sana wakikujeruhi.
 
Wakuu leo asubuhi nimeparuliwa kidogo na paka kwa kucha zake...so naombeni ushauri kuna ulazima wa kwenda hospital coz nasikia hawa wanyama mbwa na paka wanasumu Kali sana wakikujeruhi
pata sindano ya tetanus mkuu
 
Back
Top Bottom