Msaada wenu tafadhali......


Mimi mnanichanganya napowasikia msemavyo kua hiyo kitu huchoka wakati mara kadhaa hiyo kitu husifiwa maneno kama " Haluwa haina makombo" " Haiwezi kua kipo" Njia ya meli haiachi alama" n.k
kujiridhisha katika hili kuna membar anaweza kutupa source biologically kama hivyo ndivyo ?
 
eh! pole! ila ata sielewi, hadi kuchoka? :shock:huko ughaibuni wakiingiza hadi magoti? duh! kama vipi mtafute bi kidude anaweza kukusaidia.
 

Hahahhaa....ati "haluwa haina makombo" #Ahsante!

K inatanuka na kuchoka pale inapokuwa inafanyishwa kazi kila siku na mitarimbo ya size mbali mbali....hiyo ni fact! K ina muscles na zina-stretch ila too much of something is harmful. Kama atatulia for kama a month or two itarudi kama zamani..
 
una uhakika unampenda? au kwa vile umekosa pa kushika ndo ukaenda kwake?
 

Una maana gani ukisema 'nimetumika vya kutosha'...hiyo ni relative term ambayo maana yake inaweza ikawa tofauti kwa wachangiaji tofauti. Kimaumbile, tissue za uke ni elastic hivi..hutanuka kutokana na reflexes fulani fulani hivi na kuwa kubwa, na pia hurudi katika hali yake ya awali baada ya hiyo dharma kupita. Hivyo sitegemei mwanamke aliyekula bakora za kutosha kupwaya kiasi cha kutaka kumtosa mpenzi wako. Hata kama wachapaji wa huko ughaibuni walikuwa wamechanjia madodoki!

Ila kama unadhani utamkwaza mpenzio huyo kwa kuona maumbile yako yameharibiwa kidogo na matumizi....kuna mazoezi yanaitwa 'Kegel exercise'. Google na yatakuelekeza unafanyaje. Unaweza yafanya popote ulipo, nyumbani, kazini hata kanisani...kwani unacheza tu na kuban-na-kuachia misuli ya ndani ya uke kama unabana mkojo hivi, haya yanasaidia sana kutight uke ukawa mnato ka wa bikra! Na zaidi unapoweza kucontrol hiyo misuli, inakusaidia kufanya hivyo hata wakati wa tendo...unabana unaachia unabana unaaachia na raha yake waliowahi fanyiwa hivyo watatestify humu.

Type nyingine ya Kegel like exercise ni kuwa...unapobanwa na mkojo chelewa kwenda kukojoa mpaka kibofu kijae kweli kweli na mkojo umebana kama unataka kutoka, then nenda chooni, kaa (choo cha kukaa preferably), halafu achia mkojo kidogo kama kwa sekunde 3 - 5, then bana! Itakuwa ngumu but dont give up kaza misuli yote hadi ubane ukatike...then unaachia tena for few seconds, kisha unabana....endelea hivyo mpaka mkojo uishe. Kisha unaanza kuujaza tena...hii inatight misuli ya ukeni, unakuwa mnato, na pia unaweza control hiyo misuli kuongeza raha wakati wa tendo..
 
Ndiyo umeamka ? Alafu umeamka leo mkali hivyo ? Unavyomtisha Rebeca! Asijaribu kwa wachina, utamfanya arudi alikotoka! Mpeni angaa hope atlist kidogo.

ka vp ioshe na coca cola ki2 knarud new........kabsaaaaa
 


so network haisomi somi mkuu nenda kwa Dr manjaunjau atarekebisha mambo
 
Usihangaike na wachina
ukiniPM ntakusaidia mbinu za kujaribu kufanya.
Nikiweka hapa wakaka watajua miujanja yetu.

wewe sasa unamdanganya..unazani kubana mapaja itasaidi kutotambua ulege wa bwawa.
 
yaani kitu inapigwa mashine hadi mwenye nayo analalamika..da! Madem nooma.
 
umesha kuwa kushi nei kaka ladba uende kwa Dr manyaunjau
 

"kama vp mpe tigo umalize kesi.............."
 
labda sijakuelewa mdada ila sidhani kama kutumika sana kunabadilisha maumbile. no matter how much utatumika sehemu zako zinabaki vile vile, otherwise wale wamama waliotoa vichwa 10 vya watoto basi wangekua kama bwawa. mungu ameumba sehemu zile zirudi kama kawaida yake. wako ambao hawajatumika lakini sehemu zao, mmhh!!! shughuli, na wako waliotumika kupita maelezo but still minato.
 
...hiyo vijana wa mtaani wanaiita sepali lol! Anyawys jaribu kupumzika kwa muda huku ukifanya mazoezi nk. Labda itarudi!
 
sometimes its an an art

kama guitar dogo lifanye hall li-accomodate watu wadogo
na kama guitar kubwa allow the hall to expand
.
Mjini hapa utapewa hata mkaa na watu wanaingiza siku

sidhani kama kuna dawa ya kunywa.

labda angekuwa hana uzoefu na hayo ma-hall,kipindi hiki nimemuacha atakuwa amekuwa na wengine pia....so hadanganywi hivi hivi lol
 

Thanks.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…