Una maana gani ukisema 'nimetumika vya kutosha'...hiyo ni relative term ambayo maana yake inaweza ikawa tofauti kwa wachangiaji tofauti. Kimaumbile, tissue za uke ni elastic hivi..hutanuka kutokana na reflexes fulani fulani hivi na kuwa kubwa, na pia hurudi katika hali yake ya awali baada ya hiyo dharma kupita. Hivyo sitegemei mwanamke aliyekula bakora za kutosha kupwaya kiasi cha kutaka kumtosa mpenzi wako. Hata kama wachapaji wa huko ughaibuni walikuwa wamechanjia madodoki!
Ila kama unadhani utamkwaza mpenzio huyo kwa kuona maumbile yako yameharibiwa kidogo na matumizi....kuna mazoezi yanaitwa 'Kegel exercise'. Google na yatakuelekeza unafanyaje. Unaweza yafanya popote ulipo, nyumbani, kazini hata kanisani...kwani unacheza tu na kuban-na-kuachia misuli ya ndani ya uke kama unabana mkojo hivi, haya yanasaidia sana kutight uke ukawa mnato ka wa bikra! Na zaidi unapoweza kucontrol hiyo misuli, inakusaidia kufanya hivyo hata wakati wa tendo...unabana unaachia unabana unaaachia na raha yake waliowahi fanyiwa hivyo watatestify humu.
Type nyingine ya Kegel like exercise ni kuwa...unapobanwa na mkojo chelewa kwenda kukojoa mpaka kibofu kijae kweli kweli na mkojo umebana kama unataka kutoka, then nenda chooni, kaa (choo cha kukaa preferably), halafu achia mkojo kidogo kama kwa sekunde 3 - 5, then bana! Itakuwa ngumu but dont give up kaza misuli yote hadi ubane ukatike...then unaachia tena for few seconds, kisha unabana....endelea hivyo mpaka mkojo uishe. Kisha unaanza kuujaza tena...hii inatight misuli ya ukeni, unakuwa mnato, na pia unaweza control hiyo misuli kuongeza raha wakati wa tendo..