We ni farasi . inaonesha haujielewi. Kama hukuipenda IT ya ifm Si palikuwa Na nafasi ya kubadilisha course. Au Na yenyewe hukuiona. Transfer zimefanyika nyingi tu. We ulikuwa wapi? Hadi medicine tuliongeza nafasi. Alafu nahisi nimeishakufahamu. We ndio yule uliyekula hela ya bodi kisha ukaenda nchi flani .now umedisqual. Unakuja kutudanganya oooh nmechaguliwa ifm!.
ungebadili kozi tu ila mda ushapita ndugu yangu.......andika barua heslb wasitishe mkopo wako na barua nyingine peleka chuo waambie unaacha chuo. after that kila kitu kitakua sawa.... m mbona nilichaguliwa udsm kozi fulani bt nikabadili na nimefanikiwa.