danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 567
- 115
Habarini wanajamvi naombeni mnijuze katika hili
Mwaka huu niliapply kupitia tcu na nikachaguliwa bachelor ya IT pale IFM na nikapata mkopo . Lakini sikuwa tayari kujiunga na hii degree hivyo nimetemana nayo . Lakini na mpango mwakani nifanye application tena. Sasa naomba nijue taratibu za kufanya ili mwakani niwe eligible kuomba mkopo pamoja na kuapply chuo . Mana nilisikia ni lazima kwanza taarifa zangu zifutwe kwenye database za huko tcu na heslb .naamini mtanisaidia ndugu zangu