Msaada wenu tafadhari

Lauma Raj

Senior Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
129
Reaction score
14
Mke wangu ana matatizo haya;
kutokwa na vipele ndani ya UKE na kwenye mashavu,
kimkojomkojo cha mara kwa mara kikiambatana na maumivu,
ila tatizo hili hutokea mara tu baada ya kujamiiana kwa baadhi ya style japo hatujaifahamu,
na kingine hajapata hedhi toka alipojifungua tarehe 01-04 mwaka huu, je ni kawaida au kuna tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…