Msaada wenu tatizo la sikio baada ya kujigonga

Msaada wenu tatizo la sikio baada ya kujigonga

keivanti

Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
92
Reaction score
97
Habari Wana JF kuhusu Afya.

Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni.

Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge ushauri wenu kwanza.

Asante
 
Kama ikifaa kupewa vidonge si ndio tiba yenyewe? Kaonane na wataalamu wao wanajua cha kufanya wakiangalia na sikio lilivyo
 
Habari Wana JF kuhusu Afya.

Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni.

Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge ushauri wenu kwanza.

Asante
Mkuu pole kwa maradhi yako ya sikio lako limepata infection ndio maana unasikia milio ay ajabu ya ngoma ndani yake.Nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Back
Top Bottom