keivanti Member Joined Jul 29, 2022 Posts 92 Reaction score 97 Aug 1, 2022 #1 Habari Wana JF kuhusu Afya. Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni. Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge ushauri wenu kwanza. Asante
Habari Wana JF kuhusu Afya. Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni. Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge ushauri wenu kwanza. Asante
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,416 Reaction score 16,603 Aug 1, 2022 #2 Kama ikifaa kupewa vidonge si ndio tiba yenyewe? Kaonane na wataalamu wao wanajua cha kufanya wakiangalia na sikio lilivyo
Kama ikifaa kupewa vidonge si ndio tiba yenyewe? Kaonane na wataalamu wao wanajua cha kufanya wakiangalia na sikio lilivyo
Chaggabeibe JF-Expert Member Joined May 26, 2016 Posts 249 Reaction score 352 Aug 1, 2022 #3 Ni bora uende hospitali, uombe kuonana na daktari wa masikio(ENT). Sent from my SM-F907N using JamiiForums mobile app
Ni bora uende hospitali, uombe kuonana na daktari wa masikio(ENT). Sent from my SM-F907N using JamiiForums mobile app
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Aug 1, 2022 #4 kengekuaya said: Habari Wana JF kuhusu Afya. Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni. Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge ushauri wenu kwanza. Asante Click to expand... Mkuu pole kwa maradhi yako ya sikio lako limepata infection ndio maana unasikia milio ay ajabu ya ngoma ndani yake.Nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
kengekuaya said: Habari Wana JF kuhusu Afya. Somo Hapo juu lahusika. Nasikia mwangwi na Cha ajabu nikiwa kwenye midundo mikubwa nasikia ngoma zinalilia sikioni. Msaada maana hospitalini nitaishia kupewa vidonge ushauri wenu kwanza. Asante Click to expand... Mkuu pole kwa maradhi yako ya sikio lako limepata infection ndio maana unasikia milio ay ajabu ya ngoma ndani yake.Nione mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.