Msaada wenu unahitajika haraka sana

Msaada wenu unahitajika haraka sana

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Wanajamii habarini

Naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege

Naombeni ushauri Wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini sijui anadawa 🥺
 
Mtumie tu boss maana una asilimia 90 kuituma lakini akikublock usirudi huku. Maana naelewa baada ya kupokea hilo hilo itapigwa block kila sehemu
 
Mtumie tu boss maana una asilimia 90 kuituma lakini akikublock usirudi huku. Maana naelewa baada ya kupokea hilo hilo itapigwa block kila sehemu
Hata Mimi nahisi hivyo lakini cjui anadawa Kama unajua mbinu za Mimi kujiondoa nisaidie mkuu
 
Wanajamii habarini naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege naombeni ushauri wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini cjui anadawa 🥺
Mwambie unamkatia E-ticket halafu utamtumia namba.. Msikie atakuambia nini..!!
 
Back
Top Bottom