karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 137
mimi ni mtumishi katika wizara Y nimeajiriwa toka mwaka 2010 kwa level ya certificate in Computer Science(hyo ilikua km entry point il mkono uingie kinywani) wakati naajiriwa nilikuwa na Advanced Diploma in Computer Science ,Postgraduate in Finance,shda yangu hapa ninaomba anijulishe ni jinsi gan naweza badilishiwa salary ili nilipwe km mtu mwenye degree/advanced Diploma mana hpa nimehangaika hta sijapata jibu
naombeni msaada jamani
naombeni msaada jamani