The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Kwema wakuu
Mimi nina mwanamke ananipenda saana yaana sana mimi nakosa Amani kuwa nae kwa sababu kuu
2
Kwanza ni mirefu sana kanizidi mbali she almost 6.3 and I am 5.8
Na pia kwao ni maisha mazuri sana kuliko sisi.
Kuna kipindi nilimuambia tuachane akaniuliza sababu nikamuambia akakubali kishingo upande ila baada ya siku 3 Akaanza tena ku nitafuta huku akili sana akidai amejaribu ameshindwa mwisho wa siku nikamuonea huruma nikamrudia
Sababu ya kuu andika huu uzi
Ni amebeba mimba yangu alafu mimi siwezi muoa kabisa na nimeshamuambia hvo ila anasema ni sawa tuu nilimuacha analia anakua mnyonge and she almost 26 and me 32 niko dilemma aisee vp ulishawahi data na mwanamke aliyekuzidi kila kitu? Pesa, kimo vp uliwezaje kuishi nae? .