Msaada wenu wa Kitaalam (Kisayansi) na ule wa Kiutamaduni (Kienyeji) wa namna ya kuondoa nyuki

Msaada wenu wa Kitaalam (Kisayansi) na ule wa Kiutamaduni (Kienyeji) wa namna ya kuondoa nyuki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara?

Nitaushukuru.
 
chukua maranda yale ya mbao madogo madoho yenye moshi ukipata karai au ndoo ya chuma weka mkaa uko il yawake kwa moshi ukiulekezea apo kwenye mznga wao wataondoka wao wenyew kisha harbu uo mznga wao
Do it for ur own rsk
 
Back
Top Bottom