GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 13, 2023 #1 Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru.
Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Oct 13, 2023 #2 hama uswahilini tu apo kawe jau mzee njoo uku tangi bovu
Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,059 Reaction score 3,504 Oct 13, 2023 #3 chukua maranda yale ya mbao madogo madoho yenye moshi ukipata karai au ndoo ya chuma weka mkaa uko il yawake kwa moshi ukiulekezea apo kwenye mznga wao wataondoka wao wenyew kisha harbu uo mznga wao Do it for ur own rsk
chukua maranda yale ya mbao madogo madoho yenye moshi ukipata karai au ndoo ya chuma weka mkaa uko il yawake kwa moshi ukiulekezea apo kwenye mznga wao wataondoka wao wenyew kisha harbu uo mznga wao Do it for ur own rsk
M Mwana zamu Member Joined Jun 9, 2019 Posts 75 Reaction score 85 Oct 16, 2023 #4 GENTAMYCINE said: Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru. Click to expand... Ulishapata msaada? Kama bado ni Pm
GENTAMYCINE said: Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru. Click to expand... Ulishapata msaada? Kama bado ni Pm
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Oct 16, 2023 #5 Wapo wataalamu wa nyuki wanavaa vifaa vyao wanawazoa wanaondoka nao
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 16, 2023 Thread starter #6 Mwana zamu said: Ulishapata msaada? Kama bado ni Pm Click to expand... Bado. PM yangu hainipi Ushirikiano niutakao hivyo Wewe mwagika ) Funguka tu hapa hapa tafadhali sawa?
Mwana zamu said: Ulishapata msaada? Kama bado ni Pm Click to expand... Bado. PM yangu hainipi Ushirikiano niutakao hivyo Wewe mwagika ) Funguka tu hapa hapa tafadhali sawa?