Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
- Thread starter
-
- #21
mkuu naomba unipe experience yako kidogo kuhusiana na maswala ya TRA vipi wewe kwa bidhaa kama yangu makato hurange kwenye shi ngapi hivi.Nishamweleza ata inbox mdogo wangu anawenge tu kama lile langu ,unakumbuka note 10 yangu nilivyokusumbua inbox utadhan nilianza kununua sim hio tu
nimewahi agiza simu 3 wakati tofauti ,moja ilidaiwa kodi nyingine mbili hazikudaiwa kodi. same to other items sometimes yes sometimes nowakuu habari hivi kutokana na uzoefu wenu mshawai kukatwa kodi na TRA kwa kuagiza simu hususani kama yangu hapo juu ili niandae mwili na roho ilikupambana na TRA.
Huwa wanakata 18%, Sema si wamefuta kodi za simu?wakuu habari hivi kutokana na uzoefu wenu mshawai kukatwa kodi na TRA kwa kuagiza simu hususani kama yangu hapo juu ili niandae mwili na roho ilikupambana na TRA.
sikuwa najua hilo kumbe wamefuta sasa kama hawafungui parcel si itakua hawajui mkuu.Huwa wanakata 18%, Sema si wamefuta kodi za simu?
hapo ndo kipengele wakinidaka wameua.nimewahi agiza simu 3 wakati tofauti ,moja ilidaiwa kodi nyingine mbili hazikudaiwa kodi. same to other items sometimes yes sometimes no
Hawafungui ila watakufungulisha Tra pale palesikuwa najua hilo kumbe wamefuta sasa kama hawafungui parcel si itakua hawajui mkuu.
Sure! Jamaa yetu ana wasiwasi tu, hawezi kupoteza mzigo ila utachelewa tu labda kumfikia.. Ulichosema ni kweli wameufaulisha tu make flights kwa sasa China hazieleweki..Mkuu nime track hio no.
-origin china
-destination Tanzania
-sasa hivi upo Holland/Belgium.
Sioni Tatizo hapo wamefaulisha tu.
mkuu hiyo waliweka lini na imesha anza fanya kazi make kuna mwamba kanambia walimpiga kodi hatari muda si mrefu.Huwa wanakata 18%, Sema si wamefuta kodi za simu?
Tarehe 1 July nimesikia.mkuu hiyo waliweka lini na imesha anza fanya kazi make kuna mwamba kanambia walimpiga kodi hatari muda si mrefu.
Ndiyo,siku hizi wanakata kodi na kama hujui jinsi ya kucalculate wanakupiga kodi kubwa ya uwongo.wakuu habari hivi kutokana na uzoefu wenu mshawai kukatwa kodi na TRA kwa kuagiza simu hususani kama yangu hapo juu ili niandae mwili na roho ilikupambana na TRA.
Mkuu nipe mbinu sasa make mambo yameshakua hot hali ni mbaya.Ndiyo,siku hizi wanakata kodi na kama hujui jinsi ya kucalculate wanakupiga kodi kubwa ya uwongo.
namsubiri mkuu ashuke nondo ili vijana tupate maarifa.Subiraaaa
18/118×value ya simuNdiyo,siku hizi wanakata kodi na kama hujui jinsi ya kucalculate wanakupiga kodi kubwa ya uwongo.
shukrani mkuu, kumbe sio 18/100?18/118×value ya simu
Unaona kwa mfano ukununua vocha ya 1,000 hua wanakwambia sh.152 imekatwa Kama VAT,ndio inapatikana kwa kuchukua 18/118×1000=Tsh.152shukrani mkuu, kumbe sio 18/100?
Hapo Ume Tafuta VAT kwenye bei ambayo imeshatozwa VAT. Simu haijatozwa VAT bado hivyo una Tafuta tu hio 18%. Ngoja wajuzi waje zaidi.Unaona kwa mfano ukununua vocha ya 1,000 hua wanakwambia sh.152 imekatwa Kama VAT,ndio inapatikana kwa kuchukua 18/118×1000=Tsh.152
Lkn ukifanya 18/100×1000=Tsh.180 ambayo Ni wrong mkuu
VAT INCLUSIVE vs VAT EXCLUSIVE.Hapo Ume Tafuta VAT kwenye bei ambayo imeshatozwa VAT. Simu haijatozwa VAT bado hivyo una Tafuta tu hio 18%. Ngoja wajuzi waje zaidi.
Unapigaje hesabu hio nyengine?VAT INCLUSIVE vs VAT EXCLUSIVE.