msaada wenu wakuu kwa mdogo wangu

msaada wenu wakuu kwa mdogo wangu

Mmea Jr

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Posts
798
Reaction score
1,871
wakuu katika harakati za kuomba course mbalimbali za kusoma chuo, mdogo wangu alichangua course zimefuatazo UDOM ( nimeziambatanisha kwenye picha)

Lakini mbaka first selection zimetoka kwenye profile yake ambayo alitumia kuombea course hamna notification yoyote inayoonesha labda kakosa na kutakiwa kuapply na upya , ILa inaonesha tu jinsi alivyojaza na kuonesha kuwa maombi yapo submitted.

Sasa msaada naoitaji hapa nkujua wote mliomba Udom inaonesha hivi hivi, au dogo kuna vitu hakukamilisha katika maombi yke ndyo maana imekuwa kama nilivyoelezea hapo juu.
Screenshot_2022-08-24-20-09-03.png
 
Syestem inazingua, kuna mwana apa kajiona kwenye pdf tu walizotoa
 
kama hajaona jumbe yoyote kwenye dashboard mwambie afanye re-application mapema maana majibu yameshatoka tayari...
 
Back
Top Bottom