Msaada wenu wakuu

Msaada wenu wakuu

Joined
Nov 3, 2018
Posts
61
Reaction score
67
Habari za muda huu wana familia ya jamii forums. Mm ni mwanachama humu kwa muda kiasi sasa. Pia mm ni mjasiriamali, na nilipenda ujasiriamali kupitia mawazo mbalimbali yaliyotokana na familia hii ya jf. Kuna baadhi ya biashara mbali mbali niliweza kuzianzisha na zika take over na zinaendelea vizur ila kuna moja naona imeniwia ngumu sana sijui ninakosea wapi. Kwa mwenye uzoefu nayo naomba anisaidie hata kwa mawazo please. Biashara inayonisumbua ni ile ya kukoboa na kusaga unga wa mahindi na kuusambaza. Nimejaribu ila naona naambulia hasara tuu. Changamoto kubwa ktk biashara hii ni
1. Upatokanaji wa malighafi mahindi
2. Bei za unujuzi mzigo na hata uuzaji wa mzigo baada ya ku process hazipo stable kabisa
3. Hii biashara naona ni ngumu kuifanya bila kukopesha
4. Gharama za uzalishaji hususani matumizi ya umeme zinakuwa kubwa sana.

Wenye uzoefu please nisaidieni natamani kuifunga tuu maada inanipunguzia uzito wa mwili kila kukisha.
 
Biashara ya sembe inalipa sana asikwambie unauza pumba, makande pamoja na unga. Ukitaka kupata mali ghafi kwa bei nzuri cheza na madalali na bei ya sokoni.

Fanya mpango maligafi ikufikie na siyo uifuate iliko.

Mwaka huu mahindi yamepanda sana bei, ila bado ukifanya inalipa sembe kg25 bei ni 25500 mpaka 27000 pumba gunia 18000 mpaka 20000

Kama wafanyakazi ni wengi punguza ili upate faida nzuri

Biashara nyingi siku hizi ni credit na siyo sell in cash ukitaka cash sell utapiga loss.

Kama una gari fanya mobile shop wafanyabiashara siku hizi wanataka bata masuala ya kufuata mzigo godaoni hawafuati mizigo inawafikia kitandani tu.

Uko wapi ?
 
Natumae mleta mada utakua umepata mwanga...

Cc: mahondaw
 
Mi nipo Dar

Ukisema mzigo ukufuate kuwandani kwako unaweza kusubir hata mwezi haujafika. Soko letu kubwa la kupata mzigo ni Manzase tena kupitia madalali, ila niwasumbufu kipindukia maana wapo after money, unaweka order kabisa ila mzigo ukiwa mdogo sokoni bei inapanda sana halafu kesho yake bei imeshuka sana sasa aliyenunua jana na atakayenunua leo bei ya kuuza hizo products itakuwa moja huwezi kupandisha bei peke yako, hutouza.

Hiyo ya kusema tuu kuwa 25kg ni 25-27,000, pumba 18-20,000 haitoshi ku justify kuwa unapata faida. Je umenunua mzigo bei gani? Umeuprocess kwa gharama gani? Umeusambaza hadi kwa3 mlaji kwa gharama gani?

Kama unaweza kunisaidia huo mchanganuo utakuwa umenisaidia sana
Biashara ya sembe inalipa sana asikwambie unauza pumba, makande pamoja na unga. Ukitaka kupata mali ghafi kwa bei nzuri cheza na madalali na bei ya sokoni.

Fanya mpango maligafi ikufikie na siyo uifuate iliko.

Mwaka huu mahindi yamepanda sana bei, ila bado ukifanya inalipa sembe kg25 bei ni 25500 mpaka 27000 pumba gunia 18000 mpaka 20000

Kama wafanyakazi ni wengi punguza ili upate faida nzuri

Biashara nyingi siku hizi ni credit na siyo sell in cash ukitaka cash sell utapiga loss.

Kama una gari fanya mobile shop wafanyabiashara siku hizi wanataka bata masuala ya kufuata mzigo godaoni hawafuati mizigo inawafikia kitandani tu.

Uko wapi ?
 
Kifupi tuu ninapokwama bado sijapajua japo nahisi labda ni tatizo la usimamizi maana.

1. Mashine zote ni zangu
2. Vifaa/tools vyote zinazohutajika ili kukamilisha ukoboaji,usagani hadi parking vipo
3. Gari kwa ajili ya usambazaji japo ni mbovu mbovu ila inakwenda na inarudi lipo,
4. Nilicho kodi ni eneo la kufanyia kazi tuu.
 
Mkuu kama una gari au watu wanaoenda mikoani unaweza ukatoboa kabisa mwezi wa 4 au 5 nunua mahindi yako magunia hata 300 kama una mtaji kwa kila gunia ni 50000 tu au punguzo zaidi
 
Kutokana na maelezo yako mimi nadhani shida yako iko kwenye ''malighafi''. Hawa madalali siyo watu wa kuwategemea kabisa kabisa. Moja ya sifa ya kuwa dalali kwa Tanzania ni kuwa na elements za utapeli. Nadhani wewe unatakiwa kufuata mzigo kutoka kwa wakulima, na hasa kama una uwezo usubiri bei ya mahindi inaposhuka sana, ununue mengi na kuyahifadhi vizuri godown. Baada ya hapo kazi yako itakuwa na ku ya process tu.
 
Yaa ila gari niliyonayo kama nilivyosena niyakusambazia tuu maana ni canter tani 2 japo kibongo bongo hadi tani 4 inabeba. Hii kwa kufuata mizigo mikoani haifai, ni town trips kwa ajili ya door to door distribution tuu.
 
Kutokana na maelezo yako mimi nadhani shida yako iko kwenye ''malighafi''. Hawa madalali siyo watu wa kuwategemea kabisa kabisa. Moja ya sifa ya kuwa dalali kwa Tanzania ni kuwa na elements za utapeli. Nadhani wewe unatakiwa kufuata mzigo kutoka kwa wakulima, na hasa kama una uwezo usubiri bei ya mahindi inaposhuka sana, ununue mengi na kuyahifadhi vizuri godown. Baada ya hapo kazi yako itakuwa na ku ya process tu.
Story za madalali wa kibongo ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom