Msaada wenu wakuu

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Mwenzenu mikono imeanza kuniuma siku za karibuni lakini siyo muda wote bali kuna wakati inauma halafu baada ya muda haiumi sijui tatizo ni nini, naombeni ushauri wenu wakuu!!
 
Hujasema wewe nı mke au mume ? una miaka mingapi? umeshakwenda hospitali? umetumia dawa gani kutibu hiyo mikono yako?
 
Mzizi mkavu mimi ni mwanaume nina miaka 28 sijaoa, sijawahi kwenda hospitali wala kutumia dawa yoyote!
 
Sasa kama hujakwenda Hospitali unangojea kitu gani? ushauri wa watu humu ndani?Nenda kamuone Daktari akupime ili apate kujuwa unaumwa na kitu gani usidharau shauri yako Dodoma moja
 
Last edited by a moderator:
Kumradhimkuu huo niwimbo wakati nasoma ulipigwa redion ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…