Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Mwenzenu mikono imeanza kuniuma siku za karibuni lakini siyo muda wote bali kuna wakati inauma halafu baada ya muda haiumi sijui tatizo ni nini, naombeni ushauri wenu wakuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasema wewe nı mke au mume ? una miaka mingapi? umeshakwenda hospitali? umetumia dawa gani kutibu hiyo mikono yako?Mwenzenu mikono imeanza kuniuma siku za karibuni lakini siyo muda wote bali kuna wakati inauma halafu baada ya muda haiumi sijui tatizo ni nini, naombeni ushauri wenu wakuu!!
Hujasema wewe nı mke au mume ? una miaka mingapi? umeshakwenda hospitali? umetumia dawa gani kutibu hiyo mikono yako?
Sasa kama hujakwenda Hospitali unangojea kitu gani? ushauri wa watu humu ndani?Nenda kamuone Daktari akupime ili apate kujuwa unaumwa na kitu gani usidharau shauri yako Dodoma mojaMzizi mkavu mimi ni mwanaume nina miaka 28 sijaoa, sijawahi kwenda hospitali wala kutumia dawa yoyote!
Mkuu mbona wewe una maneno ya kejelı? unamuambıaje mwenzako afe mara moja? Mkuu Pdidy mbona unajibu majibu ya kihuni wakati mwenzako ana shida?Kufa nimaramoja