msaada wenu wanajamii...!!

OGOPASANA

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2009
Posts
262
Reaction score
144
Habari,
Mimi na familia yetu tunategemea kuanzisha kampuni ya biashara mbali mbali hapo mwakani kwa uweza wake Mungu, je tunaweza kutumia jina gani la biashara?
 
mheshimiwa, inategemea na biashara gani ambazo mnazo taka ku concentrate on!!
 
ni chaguo lako...... ila itabidi jina hilo liwe halijasajiliwa tayari.... ila chochote kile ni ruksa..... Ila nashauri Jina lihusiane na biashara yenu, liwe proffessional na sio refu sana liwe liwe a bit cool..... mfano (Ebay;Mtv Mwanahawa & Sons, Wataalamu; etc) na sio the likes of (Wachakachuaji; xytvsbris company;Yahoo; Amazon😉 hata kulitamka inakuwa shida...... What I mean ni kwamba jina lako liwe linahusiana na biashara yako....
 
Nakubaliana na Cronique na VoR, unapofikiri jina la biashara hakikisha linaendana na biashara unayofanya, cha kuzingatia ni jina liwe fupi na rahisi kwa wateja kuweka kumbukumbu. Kwa vile baishara ni ya kifamilia inaweza kuwa busara kama mutaweza kuingiza jina la ukoo mfano Tesha Suppliers, KataviS, Michuzi Enterprises and so on.
Vitu vengine vya kuzingatia ni soko lako linalenga wapi? kimataifa, kimkoa ama kitaifa? Endapo ni kimataifa jaribu kufanya research ili kuepuka kukopia Domain name ya biashara za watu.
Jina lisiwe lenye matusi, mfano nyinyi ni akina To*mba lakini jina kama T*mba Care Ltd halitofaa kwenye hii biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…