Msaada wenu wanajf tafadhali

pee-pee

Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13
Reaction score
2
Mimi nina ujauzito wa miezi miwili na nusu nilienda hosp nikapiwa mkojo nikakutwa na UTI nikaandikiwa vidonge vya amoxylin 2*3 kwa siku tano je kuna madhara yoyote ya dawa hizi nikilinganisha na umri wa mimba yangu kwa anaefahamu tafadhali anisaidie
 
DAktari aliyekuandikia dawa alikuwa anafahamu kuwa wewe ni mjamzito kwa mieizi miwili unusu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani daktari aliyekuandikia hakujua.kuwa wewe ni mjamimba? Au hukumueleza.

Btw ngoja nikuitie madaktari waje kukujibu...

DR. MziziMkavu na DR. Riwa msaada please....

Mummy measkron msaidie mama kijacho hapa!
 
Last edited by a moderator:
pee-pee,
Ni vizuri kumuuliza daktari uwapo naye (wakati unapoeleza matatizo yako), lakini hata hivyo hakuna madhara tegemezi ya Amoxylin, katika ujauzito..mara baada ya kumaliza dozi, ni vyema kuangalia kqma tatizo limekwisha au bado lipo, iwapo majibu yataonyesha bado una tatixo la UTI inawezekana;
1. kutumia dawa hii hakujaondoa tatizo (kutokana na matumizi yake kwa magonjwa mbaki mbali-Drug resistance)

2. Kujirudia kwa tatizo la UTI, kwa kuwa wakati wa ujauzito mwanamke anakuwa katika hali hatarishi ya maambukizo hayo.
 
Last edited by a moderator:

Dr. usiwe unapotea sana jamvini... huwa tunakukosaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina ujauzito wa miezi miwili na nusu nilienda hosp nikapiwa mkojo nikakutwa na UTI nikaandikiwa vidonge vya amoxylin 2*3 kwa siku tano je kuna madhara yoyote ya dawa hizi nikilinganisha na umri wa mimba yangu kwa anaefahamu tafadhali anisaidie

Natumai umeshapata majibu husika...ila ni muhimu sana kujieleza kwa daktari. Ujauzito kwetu huku Africa ni kitu cha kifahari, usione 'soo' kumuambia daktari kuwa u-mja mzito wa miezi kadhaa, ili anapokuchunguza na hata kukupa matibabu/dawa azingatie hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…