Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amoxyl is safe in pregnancyKwani daktari aliyekuandikia hakujua.kuwa wewe ni mjamimba? Au hukumueleza.
Btw ngoja nikuitie madaktari waje kukujibu...
DR. MziziMkavu na DR. Riwa msaada please....
Mummy measkron msaidie mama kijacho hapa!
Amoxyl is safe in pregnancy
pee-pee,
Ni vizuri kumuuliza daktari uwapo naye (wakati unapoeleza matatizo yako), lakini hata hivyo hakuna madhara tegemezi ya Amoxylin, katika ujauzito..mara baada ya kumaliza dozi, ni vyema kuangalia kqma tatizo limekwisha au bado lipo, iwapo majibu yataonyesha bado una tatixo la UTI inawezekana;
1. kutumia dawa hii hakujaondoa tatizo (kutokana na matumizi yake kwa magonjwa mbaki mbali-Drug resistance)
2. Kujirudia kwa tatizo la UTI, kwa kuwa wakati wa ujauzito mwanamke anakuwa katika hali hatarishi ya maambukizo hayo.
Dr. usiwe unapotea sana jamvini... huwa tunakukosaaa!!!!
Mimi nina ujauzito wa miezi miwili na nusu nilienda hosp nikapiwa mkojo nikakutwa na UTI nikaandikiwa vidonge vya amoxylin 2*3 kwa siku tano je kuna madhara yoyote ya dawa hizi nikilinganisha na umri wa mimba yangu kwa anaefahamu tafadhali anisaidie