Msaada wenu wandugu: Dawa ya kusokota tumbo kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

Msaada wenu wandugu: Dawa ya kusokota tumbo kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

pole dia. mie wakwangu ana mwezi pia anasumbuka akiwa ananyñya am a baada. nilielekezwa dawa product ya Himalaya inaitwa bonisani. imemsaidia kwa kwli. maana kapunguza Julia na kujinyonga tumbo

Bonisan ni dawa nzuri sana hata mm nimemtumilia mwanangu
 
usiache kumtoa gesi tumboni nayo huchangia tumbo kuuma na kuwa kubwa hivyo mtoto anashindwa kunyonya kwa starehe pole sana
 
Aika sana mae!

Wewe umeanza vizuri alafu unahalibu mambo yako ya misiagi afadhali ungemuambia akanunue grippwater au mafuta ya samaki pharmacy
Acha kabisa uyu atakuingiza chaka siyagi iko complex ni kama umemuanzishia chakula tu
 
mtafute mtu wa Bukoba akuonyeshe dawa moja inaitwa EKITATELANTE unafikicha majani yake baada ya kuyababua kwa moto kidogo au bila kuyababua yakiwa mabichi nayo sawa tu,kisha mpe kakijiko kamoja ka chai asubuhi,mchana na wakati wa kulala usiku.Pia mama yake ajitahidi sana kumweka begani pindi amalizapo kumnyonyesha mpaka atakapocheua! hii inamsaidia mtoto tumbo kutojaa gas! achana na madawa ya kizungu! mambo yote BUKOBA!
 
Na mimi Mwanangu anasumbuka sana naombeni mnisaidie hayo mafuta ya siagi unayafanyaje?
 
Hiyo no kawaida kwa mtoto has a was kiume mm pia alikua na tatizo hilo dawa za asili znasaidia baada ya miez mitatu litaacha
 
Watafute wazee wakupe dawa,Mi nakushauri tafuta ngozi ya Nyoka kipande kidogo tu kisha unamsuguria kichwani
 
Wakuu mwanangu mwenye umri wa siku mbili tu analia tumbo na pia linanguruma
 
Wewe umeanza vizuri alafu unahalibu mambo yako ya misiagi afadhali ungemuambia akanunue grippwater au mafuta ya samaki pharmacy
Acha kabisa uyu atakuingiza chaka siyagi iko complex ni kama umemuanzishia chakula tu
Mi mwanangu wa siku tano alikuwa na tatizo hilo nikampatia gripwater saivi yuko poa kabisa na ilinipa majibu baada ya dakika tano tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nisaidieni kwa anayekujua dawa ya tumbo, mtoto wangu baada tu ya kutimiza wiki mbili toka kuzaliwa kwake gafla alianza kuumwa tumbo la ajabu yaani akimyonya tu ile anameza fundo la maziwa tumbo linaanza kuunguruma vibaya mno kama la mtu mzima anajivuta analia mno hadi anatokwa jasho hatulali nilijua litaisha baada ya muda ila naona kadri siku zinavoendelea ndio anaumwa sana.

Nimejalibu baadhi ya madawa niloshauriwa ila naona hamna nafuu.

Pls naomba mnsaidie.
Mpe mafuta ya samaki kijiko 1 cha chai mara 2 kwa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom