pole dia. mie wakwangu ana mwezi pia anasumbuka akiwa ananyñya am a baada. nilielekezwa dawa product ya Himalaya inaitwa bonisani. imemsaidia kwa kwli. maana kapunguza Julia na kujinyonga tumbo
Aika sana mae!
Iyo nyio hanga mae?karibu mbee.sikujua kama washwa washwa ni wa kulee
Mi mwanangu wa siku tano alikuwa na tatizo hilo nikampatia gripwater saivi yuko poa kabisa na ilinipa majibu baada ya dakika tano tuWewe umeanza vizuri alafu unahalibu mambo yako ya misiagi afadhali ungemuambia akanunue grippwater au mafuta ya samaki pharmacy
Acha kabisa uyu atakuingiza chaka siyagi iko complex ni kama umemuanzishia chakula tu
Mpe mafuta ya samaki kijiko 1 cha chai mara 2 kwa sikuJamani nisaidieni kwa anayekujua dawa ya tumbo, mtoto wangu baada tu ya kutimiza wiki mbili toka kuzaliwa kwake gafla alianza kuumwa tumbo la ajabu yaani akimyonya tu ile anameza fundo la maziwa tumbo linaanza kuunguruma vibaya mno kama la mtu mzima anajivuta analia mno hadi anatokwa jasho hatulali nilijua litaisha baada ya muda ila naona kadri siku zinavoendelea ndio anaumwa sana.
Nimejalibu baadhi ya madawa niloshauriwa ila naona hamna nafuu.
Pls naomba mnsaidie.