kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,631
Habarini wakuu.Nahitaji kufungua Account kwa ajili ya institution kuna Mambo 2 muhimu yanayohitajika kwenye hio acc ni 1.API for receiving payment online 2.PHP script link to online banking. +NAME NUMBER CVV. Naomba kuelewesha kuhusiania na mambo hayo na ni benki gani ninaweza pata hizo service kwenye akaunti.Asanteni