mkosefu Member Joined Apr 3, 2014 Posts 41 Reaction score 11 Aug 15, 2017 #1 Hivi tatizo la tumbo kuuma kama anataka kuingia kwenye period halafu isije hili husababisha na nn au ni mimba
Hivi tatizo la tumbo kuuma kama anataka kuingia kwenye period halafu isije hili husababisha na nn au ni mimba
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Aug 15, 2017 #2 [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naren JF-Expert Member Joined Apr 22, 2016 Posts 692 Reaction score 428 Aug 15, 2017 #3 Kweli umeamka na stress leo, news alert ya tumbo. Ngojea wanaofahamu mambo waje.
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,171 Reaction score 34,394 Aug 15, 2017 #4 Inaweza kua dalili za kuingia period Inaweza kua una uvimbe Kupata majibu stahiki juu ya kua na mimba pima Madame S
Inaweza kua dalili za kuingia period Inaweza kua una uvimbe Kupata majibu stahiki juu ya kua na mimba pima Madame S