tracy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 784
- 268
Nina rafiki ambae ni bulimic,tokea anaanza kukua,tatizo kwa sasa sio weight loss but akila anaumwa tumbo so she vomits na kwa sasa anapata maumivu upande wa kulia wa mbavu na kwenye left breast..kama kuna mtu anaeza kumpa ushauri and kama kuna diet(yenye food ingridients),. NA nina tatizo la kuumwa na mguu esp wa kulia na inawaka moto hadi nkilala i have to uncover them,nimejaribu dawa ya neurobin and bila success.