Msaada wenye ujuzi na hapa

Msaada wenye ujuzi na hapa

Msaga_sumu

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
289
Reaction score
291
Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap forget email inaandika email haipo, sijaelewa shida ni nn? Na kama umesahau password unafanya nn?
 
Kwa nini hamkumuandikia kwenye karatasi hiyo Email na Password au kwenye diary?
 
Achana nae boya huyo ata haribu kizazi,naweza kunisaidia kama ana angalau 50000
 
1. Anakumbuka Email yake aliyotumia kusajilia akaunti ya Ajira Portal?
a) Ndio
b) Hapana

2. Kama jibu ni Ndio,
Aingize kwenye hiyo Email atakuta ujumbe aliotumiwa zamani ku-activate akaunti ya Ajira portal Kipindi kile akijisajili.

3. Aitumie hiyo Email ndio iwe inaendesha Simu yake. Kule kwenye setting kuna sehemu ya ku-add akaunti, aitumie hiyo akaunti aliyosajilia Ajira portal

4. Aingie kwenye Google akaunti ya hiyo Email kisha atafute apps zote alizozitumia kujiunga kupitia email hiyo.
Ataiona Ajira portal na password zake.
 
Daa walimu hawa yani anakuwa kama mwanafunzi wa chekechea hapo sii tu password hadi hiyo email amesahau ndio maana wanaandika email haipo.
Ingekuwa sahihi ange reset password
 
Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap forget email inaandika email haipo, sijaelewa shida ni nn? Na kama umesahau password unafanya nn?
Wewe ficha upuuzi wako hapa. Vitu vidogo mpaka ukafanyiwe na mtu,kakupa msaada bado password akuhifadhie andazi mkubwa wee
 
Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap forget email inaandika email haipo, sijaelewa shida ni nn? Na kama umesahau password unafanya nn?
Ni mwalimu mpumbavu
 
Acheni kuhangaika nae maana hafai kuwa mwalimu.
 
Sasa huyo ndo mwalimu anakuja kufundisha watoto wetuu unategemea nini..! shida ni mwalimu hajitambui
 
Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap forget email inaandika email haipo, sijaelewa shida ni nn? Na kama umesahau password unafanya nn?
Walimu mnatuangusha sana.

unashindwa hata daftari la championi uwe unaandika vitu vya msingi kama hivi?
 
Back
Top Bottom