Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 289
- 291
Kwa nini hamkumuandikia kwenye karatasi hiyo Email na Password au kwenye diary?Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap forget email inaandika email haipo, sijaelewa shida ni nn? Na kama umesahau password unafanya nn?
Wewe ficha upuuzi wako hapa. Vitu vidogo mpaka ukafanyiwe na mtu,kakupa msaada bado password akuhifadhie andazi mkubwa weeJamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap forget email inaandika email haipo, sijaelewa shida ni nn? Na kama umesahau password unafanya nn?
Ni mwalimu mpumbavuJamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap forget email inaandika email haipo, sijaelewa shida ni nn? Na kama umesahau password unafanya nn?
Walimu mnatuangusha sana.Jamani mabibi na mabwana habari, kuna mwalimu mmoja tulimfanyia applications zile za ualimu kwenye stationery yetu, lakini walivotoa majina ya usaili ile mara ya kwanza akasema akumbuki login information tukapambana nayo tukaweza login, sahivi tena hakumbuki tukijaribu weka email na kutap forget email inaandika email haipo, sijaelewa shida ni nn? Na kama umesahau password unafanya nn?