Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

Yes kama alafu kami vile ilikuwa ni kota zile
Kama ni kota, ni za jeshi. Na hapo kuna shule ya secondary na primary zote za jeshi.
Hapo upande wa pili wa NMC ni eneo la jeshi tu. Huyo ndugu yako aliolewa na mwanajeshi mpaka akae hapo kota?
 
🤣🤣🤣🤣 mmama kutoka Iringa, mwalimu, ndugu yako jina haumfahamu, ana watoto wawili mmoja catherine wa kama miaka 16 hivi.....

Sijui hata nmecheka nini.
 
Kama ni kota, ni za jeshi. Na hapo kuna shule ya secondary na primary zote za jeshi.
Hapo upande wa pili wa NMC ni eneo la jeshi tu. Huyo ndugu yako aliolewa na mwanajeshi mpaka akae hapo kota?
Mh cjui mkuu mana mi yule mama aliniambia yeye ni mwalimu
 
Mkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuu
Duh hii kali ngumu kusaidiwa..
 
2022,namba ya simu aliokua anatmia kwa wakati ule ilikuwa ina majina haya "MASAUNI MASAUNI TAWETE"
Kumbe juzi tu.
Kama una uhitaji nae sana nenda hapo kota, 2022 bado sio muda mrefu utampata tu.
 
Mkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuu
Mbona kichekesho ni ndugu yako afu humujui majina?
We sema ni nilishangazi (mchepuko) ulikutana nalo bar sasa umepoteza namba zake unashindwa namna ya kumpata😁😁 msema kweli ni mpenzi wa mungu
 
Mwl Tawete nnaemfahamu yeye alishastaafu na anaishi karibu na mazingira ya sm ruhuwiko ila sifahamu kama ana mtoto anaitwa catherine
Ungeweka details vizuri huenda ungesaidiwa
 
  • Thanks
Reactions: 511
Mwl Tawete nnaemfahamu yeye alishastaafu na anaishi karibu na mazingira ya sm ruhuwiko ila sifahamu kama ana mtoto anaitwa catherine
Ungeweka details vizuri huenda ungesaidiwa
Upande gani pale mkuu
 
Back
Top Bottom