IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,551
- 2,695
Mwalm tawete alifundisha shule gani? Na ni secondary au primary nakumbuka niliwai fundishwa na mwalm tawete primary mfaranyaki Ile shule IPO karibu kabisa na uwanja wa mpira majimaji uyu alikua anakaa maeneo ya lizaboni huko sasa sjui ruhuwiko alikua anafika au aliishia hapo lizaboni ni mmama.Mwl Tawete nnaemfahamu yeye alishastaafu na anaishi karibu na mazingira ya sm ruhuwiko ila sifahamu kama ana mtoto anaitwa catherine
Ungeweka details vizuri huenda ungesaidiwa
ni kweli mkuu tatizo nilika mda mchache tu yani nilihifadhiwa tu usiku ule na asubuh watoto(2) ndo wakanipeleka mpaka stend ya pale ruhuwiko kwa mguu tulitembea kama dkk 5-10 hv kwani nilikua sina ramani na nlikua naelekea kwenye kozi 842 kj mlaleMwl Tawete nnaemfahamu yeye alishastaafu na anaishi karibu na mazingira ya sm ruhuwiko ila sifahamu kama ana mtoto anaitwa catherine
Ungeweka details vizuri huenda ungesaidiwa
Utakuja kuchapwa viboko vya shingo na usijue sababu kwa tabia hii.Uliza jambo jumlajumla.Unapotezea watu muda utadhani unawafundisha kubaka panzi/balangulu?Nimewaita kwanza ili mwenyeji ukishajibu kwenye uzi hu ndo nikuulize kwa maelezo anyway,we ni mwenyej?
Saw mkuu kama mlipita ile njia ya ruhuwiko sm,pale nyuma ya shule kuna uwanja wa mpira pemben kuna njia nadhan ukipita hiyo njia kule mbele ukiuliza maeneo hayo watakuelekeza,ni kwel hata anapoishi huyo mwl ni dakik 5 tu au 4 unafika ruhuwiko stendni kweli mkuu tatizo nilika mda mchache tu yani nilihifadhiwa tu usiku ule na asubuh watoto(2) ndo wakanipeleka mpaka stend ya pale ruhuwiko kwa mguu tulitembea kama dkk 5-10 hv kwani nilikua sina ramani na nlikua naelekea kwenye kozi 842 kj mlale
nashukuru mkuu nimejarb kuvta kumbkumb nikakumbka ni kama maeneo haya or karibu na hapa kwenye hi ramani mana ni kama nilipaona piaSaw mkuu kama mlipita ile njia ya ruhuwiko sm,pale nyuma ya shule kuna uwanja wa mpira pemben kuna njia nadhan ukipita hiyo njia kule mbele ukiuliza maeneo hayo watakuelekeza,ni kwel hata anapoishi huyo mwl ni dakik 5 tu au 4 unafika ruhuwiko stend
Kwa maelezo haya sijui kama utampata nikutakie kila la kheri!Mkuu kwa majina sifahamu lakini ni MMAMA,kazi ni mwalimu kama sijakosea,sijui ana watoto wangapi ila nafahamu ana binti wawili wote wanasoma secondary,bint moja anaitwa catherine age kama 16 hivi or more,nyumban kwake ni karibu na magodawn flan hivi kama sio viwanda nakumbuka hayo tu mkuu
Uwe unapitia comment zote mkuu anyway nshampataKwa maelezo haya sijui kama utampata nikutakie kila la kheri!
ππππ kwani hili ndo ilikua lengo la uzi mbona hukusema mapema? Umemchumbia catherini au mwl mwenyewe ?Mrejesho,nimefanikiwa kupeleka barua ya posa
catherine,mtoto wa kingoni+sambaa namuombea dua kwa munguππππ kwani hili ndo ilikua lengo la uzi mbona hukusema mapema? Umemchumbia catherini au mwl mwenyewe ?
Hongera sana
Ikawe heri kwenucatherine,mtoto wa kingoni+sambaa namuombea dua kwa mungu
aminaIkawe heri kwenu