google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
jamani elimu haina mwisho, anayejua chuo kizur kwa kozi ya quantity survery anifahamishe ikiwa ni pamoja na vigezo, ada, mda kufanya usahili,changamoto, nk.
naomba ushirikiano wenu wasomi
naomba ushirikiano wenu wasomi