Msaada: WhatsApp haisomi majina

jangos

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
208
Reaction score
231
Za muda huu wanajamvi,

Ni muda sasa wasap yangu haina jina lolote nkijalibu kurefresh naambiwa list ya majina imekuwa updated naomba msaada maana napitwa mambo mengi ya msingi.
 
Za muda huu wanajamvi,

Ni muda sasa wasap yangu haina jina lolote nkijalibu kurefresh naambiwa list ya majina imekuwa updated naomba msaada maana napitwa mambo mengi ya msingi.
Majina huwa una save wapi kwenye Device, Email au Simcard?
 
Za muda huu wanajamvi,

Ni muda sasa wasap yangu haina jina lolote nkijalibu kurefresh naambiwa list ya majina imekuwa updated naomba msaada maana napitwa mambo mengi ya msingi.
Kama unatumia GB Whatsapp. Enda kwenye Gb setting>Home screen>forward setting.. Turn off izo options zote tatu.
 
Kwani namba hazijabakia? Application yako ni ya kawaida..
WhatsApp kutosoma majina mara nyingi husababishwa na ruhusa za programu au changamoto za usawazishaji wa mawasiliano. Hakikisha umeipa WhatsApp ruhusa ya kusoma mawasiliano kwenye mipangilio ya simu yako. Pia, jaribu kusasisha programu ya WhatsApp au kusawazisha mawasiliano kwenye akaunti yako ya Google au iCloud. Ikiendelea kushindikana, jaribu kufunga na kufungua tena programu au kuwasiliana na msaada wa kiufundi wa WhatsApp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…