Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina huwa una save wapi kwenye Device, Email au Simcard?Za muda huu wanajamvi,
Ni muda sasa wasap yangu haina jina lolote nkijalibu kurefresh naambiwa list ya majina imekuwa updated naomba msaada maana napitwa mambo mengi ya msingi.
Kama unatumia GB Whatsapp. Enda kwenye Gb setting>Home screen>forward setting.. Turn off izo options zote tatu.Za muda huu wanajamvi,
Ni muda sasa wasap yangu haina jina lolote nkijalibu kurefresh naambiwa list ya majina imekuwa updated naomba msaada maana napitwa mambo mengi ya msingi.
WhatsApp kutosoma majina mara nyingi husababishwa na ruhusa za programu au changamoto za usawazishaji wa mawasiliano. Hakikisha umeipa WhatsApp ruhusa ya kusoma mawasiliano kwenye mipangilio ya simu yako. Pia, jaribu kusasisha programu ya WhatsApp au kusawazisha mawasiliano kwenye akaunti yako ya Google au iCloud. Ikiendelea kushindikana, jaribu kufunga na kufungua tena programu au kuwasiliana na msaada wa kiufundi wa WhatsApp.Kwani namba hazijabakia? Application yako ni ya kawaida..