Mkuu pole Sana, wewe tulikushauri kuwa uifomat au ufanye restoration hiyo simu ,ifute kila kitu dheni uanze kuingiza /kudownload mafile upya,Wakuu habarini za majukumu, juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo. Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli kwenye magroup kwani hiyo link ni ya kutangaza biashara ya online nimefuta nikadownload nyingine lakini tatizo liko palepale. Wakuu naomba msaada huu ya tatizo hilo Asanteni
Kama what's app ni official Kuna uwezekano hata ikawa sio what's app Bali app nyengine ina malware ambao wanatuma hizo links.Wakuu habarini za majukumu, juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo. Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli kwenye magroup kwani hiyo link ni ya kutangaza biashara ya online nimefuta nikadownload nyingine lakini tatizo liko palepale. Wakuu naomba msaada huu ya tatizo hilo Asanteni
Wakuu nawashukuru wote kwa mawazo yenu chanya nime uninstall apps zote nika ingiza moja baada ya nyingine nimekuja kubaini kuna app moja ndio ilikuwa na matatizo hayo nawashukuruni wrote. AsantenWakuu habarini za majukumu,
Juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo.
Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli kwenye magroup kwani hiyo link ni ya kutangaza biashara ya online nimefuta nikadownload nyingine lakini tatizo liko palepale.
Wakuu naomba msaada huu ya tatizo hilo Asanteni