Msaada whatsapp

Msaada whatsapp

MwaFreeca

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
205
Reaction score
183
Habari ndugu zangu,

Nina shida Whatsapp yangu ilifungiwa kwasababu nilikua natumia GB whatsapp. Nikawasiliana nao kwa njia ya Email account ikafunguliwa.

Nikatumia whatsapp official kwa muda wa miezi mitatu ikaja kukataa tena inaleta ujumbe huu hali yakuwa natumia Official whatsapp..

Screenshot_2024-03-07-16-39-26-97.png
 
Labda sio official em jaribu kudownlod na hiyo link wamekupea hapo
 
Hilo tatizo utalipata ikiwa simu ina android version ya zamani hata udownload from google play
 
Sidhani kama hiyo simu ni ya zamani kiasi hicho
Mimi pia nilifungiwa whatsapp nliwasiliana nao mara 1000 ila hali hiyo hiyo nikaja gundua kuwa nikiinga whatsapp kwenye simu yenye android ndogo example 8 au custom rom inaleta huo ujumbe ila simu yenye android kubwa mfano 11 inakubali so Nikanunua simu yenye specification kubwa android 14 OneUI6
 
WhatsApp haisuport kwenye vision ya android 6 kushuka chini ko kama simu yake ipo juu ya hapo lazima itakubali..
 
Hahah WhatsApp inasupport android 4.4 (kitkat) kwenda juu
Umewavuruga wtu Hapa.Mm nafikiri harakati za Kupambana na Clone version za whatsap kutakuwa na Feature wame implement ambayo inaleta hizo issue maana.Mimi ilijitokeza kwenye device yenye old android version nikaacha kwa muda kisha nikarudia ikakubali na sasa natumia kama kawaida.Ila Nawaza ikitokea update kama haitaniathiri.All in Allkwa mujibu wa Whatsap wenyewe wana support karibu version zote za android..

:"Currently, we provide support for and recommend using the following devices: Android running OS 5.0 and newer"
 
Tatizo linaweza kutokana na simu, WhatsApp inashindwa kuverify kama ni original katika baadhi ya simu za Kichina hasa zile ambazo hazina official Play Store support.
 
Kuna files kwenye android directory/data.

Ambazo most of the times zinacapture ile modded whatsapp iliyokuwepo.

So... official whatsapp server zao zinalocate ktk hizo directory kutafuta any sign of cloned whatsapp app ndio inakutana na MABAKI ya ile app uliyo Unistall bila kufuta DATA.

make sure that ukiunstall whatsapp futa na DATA.

NOTE: hamisha directory la MEDIA ktk root folder before hujafuta DATA. It will save your ass
 
Kitkat haisupport ni kuanzia 5 kwenda juu
Ohh labda ni latest updates
Sasa wewe mbona unasema 8 inagoma? Hapo kwenye 4.4 itategema ni android ipi sasa..
Nimesema hivi ikiwa account imejifunga kama hivyo ningumu sana kufanya kazi kwenye old android versions either upgrade au usubiri kwa muda mrefu kisha urudishe account ila kama ni namba mpya haina tatizo
Umewavuruga wtu Hapa.Mm nafikiri harakati za Kupambana na Clone version za whatsap kutakuwa na Feature wame implement ambayo inaleta hizo issue maana.Mimi ilijitokeza kwenye device yenye old android version nikaacha kwa muda kisha nikarudia ikakubali na sasa natumia kama kawaida.Ila Nawaza ikitokea update kama haitaniathiri.All in Allkwa mujibu wa Whatsap wenyewe wana support karibu version zote za android..

:"Currently, we provide support for and recommend using the following devices: Android running OS 5.0 and newer"
Wewe umenielewa sana
Kuna files kwenye android directory/data.

Ambazo most of the times zinacapture ile modded whatsapp iliyokuwepo.

So... official whatsapp server zao zinalocate ktk hizo directory kutafuta any sign of cloned whatsapp app ndio inakutana na MABAKI ya ile app uliyo Unistall bila kufuta DATA.

make sure that ukiunstall whatsapp futa na DATA.

NOTE: hamisha directory la MEDIA ktk root folder before hujafuta DATA. It will save your ass
That's it but for some reasons may not work
 
Back
Top Bottom