Msaada! wizi wa laini ya MPesa!

Msaada! wizi wa laini ya MPesa!

Ze burner

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
514
Reaction score
83
Habari zenu wadau!

Nimekutana na changamoto katika laini yangu ya Mpesa!. awali niliitumia laini hiyo kufanya kazi nikiwa Mwanza, baadaye nikaamua kuihamishia zanzibar. niliacha kufanya kazi kama wiki mbili tu wakati nikifanya utaratibu wa kuihamisha laini hiyo kwenda zanzibar. imefika zanzibar na kuanza kuweka pesa kiasi cha (xxxx.....) hivi. tukafanya transaction za majaribio zikakubali fresh tunaanza kazi. siku ya pili baada ya kuanza kazi laini inakata network. kufuatilia jamaa wanasema eti laini inafanya kazi. siku ya pili hivo hivo wakati laini yenyewe ilikua haina hata network. wananambia laini eti haijatumika kwa muda mrefu. hivi inawezekanaje wakati tuliacha kufanya kazi wiki mbili na tulianza kazi ikiwa iko vyema sasa inakuaje imeuzwa.

Msaada wa kisheria jamani nataka nipiganie haki yangu naamini huu ni uonevu na unamgusa kila mmoja wetu.

natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom