Msaada wowote wa technlogy na computer utapata solution

na hizo procedures ka alivyosema jamaa kazipitia lkn kasindwa chizi jaribu kuzifanya
 
Mi ninachojua ndugu yangu ni kuwa hata kama unajua, nyenyekea na kubali hujui kila kitu utazidi kufaidi. Nimejifunza mengi hapa, naamini wengi wamejifunza kwangu pia. Kiburi huwa kinaishia na maangamizi, yawe ya kimaisha au kitaaluma. Ndio mana nikamwambia dogo apunguze kasi atajikwaa

@kimokole,
niko mbali na machines, nikiwa karibu nitajaribu kuperuzzi kwa huyu ndugu.
 

poa
 
Edjizzo msaada ndugu!

sasa sikia mac snow yako haitambui hiyo die yako sababu
eiza aikuwa register na os hiyo
jinsi ya kufanya
tafuta software inayo itwa iparaller
install itakusaidia kusopport mac kuwezesha mafile ya microsoft kuyaona
msaada zaidi
0712484995
edjizzo@yahoo.com
 

Haki ya Mungu nimeamini wewe MWEUPE!

CRAP 100%
 
Lakini umuwache kwanza ashindwe kutatua hayo matatizo ndio useme...!

Mwenywewe amehakikisha kuwa anaweza, kwanini tusimtumie tukafaidika...? Nafasi ndio hii.
Tabia yetu ni kuudhi ili wengine wasifaidike!!
 
Nimejaribu hizo link inakataa mkuu Yeshua
Ingia kwenye site ya mac wenyewe utapata driver sahihi. wana patch wameweka tayari kwa driver zinazokosekana, ila angalia usiwe unatumia OSX ya kughushi! vinginevyo nenda kwenye site za mac na kisha soma jina la driver kisha kuwa (mwizi) tumia torrents kudownload.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…