Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ninachojua ndugu yangu ni kuwa hata kama unajua, nyenyekea na kubali hujui kila kitu utazidi kufaidi. Nimejifunza mengi hapa, naamini wengi wamejifunza kwangu pia. Kiburi huwa kinaishia na maangamizi, yawe ya kimaisha au kitaaluma. Ndio mana nikamwambia dogo apunguze kasi atajikwaaHata mimi kwa kweli huyu bwana ananitia mashaka maana ameingia kwa kishindo lakini sioni akimwaga material, au yeye ana soft sheet nyingi the know how, ndio akadiliki kusema chochote kwenye computer yeye anafanya? maana baada ya kukaa na kutafakari kwa makini sidhani dunia hii kama kuna mtu amejariwa kujuwa kwa ufasaha vitu vyote viwili yaani hardware & software, labda wenzangu mnisaidie hilo.
maana nimefikia uamuzi wa kubadili mtazamo wangu kuhusu huyo bwana baada ya kusoma thread moja humu jamvini mtu anauliza jinsi ya kuunda computer yake, haya makubwa sasa madogo yana nafuu.
inawezekana humu kuna watu wana viwanda, au wana vichwa vidogo ambavyo vimebeba akili kubwa, ili nalo ni tatizo lazima kichwa hakitabaki salama.
Mi ninachojua ndugu yangu ni kuwa hata kama unajua, nyenyekea na kubali hujui kila kitu utazidi kufaidi. Nimejifunza mengi hapa, naamini wengi wamejifunza kwangu pia. Kiburi huwa kinaishia na maangamizi, yawe ya kimaisha au kitaaluma. Ndio mana nikamwambia dogo apunguze kasi atajikwaa
@kimokole,
niko mbali na machines, nikiwa karibu nitajaribu kuperuzzi kwa huyu ndugu.
Maadam sijaonana na mtaalam nika jaribu ku check google tena na hizi ndio link nilizopata. Check if they are useful
Huawei Ec325 Usb Modem On Mac Os X 10 - Reliance Mobile (CDMA & GSM) - Discussion Forums
Huawei Technical Forum: English Category
Huawei Technical Forum: Broadband Access
Edjizzo msaada ndugu!
sasa sikia mac snow yako haitambui hiyo die yako sababu
eiza aikuwa register na os hiyo
jinsi ya kufanya
tafuta software inayo itwa iparaller
install itakusaidia kusopport mac kuwezesha mafile ya microsoft kuyaona
msaada zaidi
0712484995
edjizzo@yahoo.com
Tabia yetu ni kuudhi ili wengine wasifaidike!!Lakini umuwache kwanza ashindwe kutatua hayo matatizo ndio useme...!
Mwenywewe amehakikisha kuwa anaweza, kwanini tusimtumie tukafaidika...? Nafasi ndio hii.
Ingia kwenye site ya mac wenyewe utapata driver sahihi. wana patch wameweka tayari kwa driver zinazokosekana, ila angalia usiwe unatumia OSX ya kughushi! vinginevyo nenda kwenye site za mac na kisha soma jina la driver kisha kuwa (mwizi) tumia torrents kudownload.Nimejaribu hizo link inakataa mkuu Yeshua