Msaada wowote wa technlogy na computer utapata solution

Msaada wowote wa technlogy na computer utapata solution

SHUKRANI

sawa tatizo mi watu nawajua nimekutana nawatu wengi wa aina hiyo atakama ana ujanjanja nao anataka kujua kina endeleaje mpaka inapelekea kualibu mi nasoma vitabu sikuzaliwa navyo .sioti hapa nina vitabu softcopy vya 20gb kama unataka kushindana na mimi nitakupoteza nachanganya idia nyingi nipo hapa kuongeza huwezo we maelezo chukua kama yalivyo mi nishafaya kazi za majalibio na kufanikiwa 70 mwenyewe kama
oracle data base
msql
java
visual studio 2008/2010
html/xhtml/php
phython
cobol
electronic
cisco
sikia usiogope ukitaka kufika mbali jalibu vingi utaona faida asante
 
Tatizo la Kwanza (1)

Naomba nisaidie namna ya ku-enable Qe/Cl kwenye GMA X4500 natumia OSX 10.6 Snow Leopard au unipatie driver yake.
 
Tatizo la pili (2).

Nina Huawei FWT ETS 2251 Modem nataka kupata Internet kwenye Mac yangu, nifanyeje ili ionekane maana haionekani kwenye list of Modem
 
u mi nasoma vitabu sikuzaliwa navyo .sioti hapa nina vitabu softcopy vya 20gb kama unataka kushindana na mimi nitakupoteza nachanganya idia nyingi nipo hapa kuongeza huwezo we maelezo chukua kama yalivyo mi nishafaya kazi za majalibio na kufanikiwa 70 mwenyewe kama
msql
java
visual studio 2008/2010
html/xhtml/php
phython
Nina maswali machache juu ya hayo kukupima maana nahisi u msanii zaidi kuliko fundi
MYSQL
Nini faida ya Full-Text index search?

JAVA
Nikitaka kutengeneza program yenye UI na Database support kwa kutumia Java nahitaji nini?

VISUAL STUDIO
Ninawezaje kuongeza "library" ktk VC++ (Sehemu ya VS)?

HTML/XHTML/PHP
1. Nini tofauti ya HTML, XHTML na PHP?
2. Syntax ya kuandika Class ya PHP inayorithi kuotka Class nyingine ikoje?

PYTHON
1. Nini ufanano (similarities) kati ya PHP na Python?
2. Nini tofauti kati ya Python na PHP?

Have nice time
 
Sina ujuzi sana na mac, unaweza weka screenshots na maelezo kidogo ya kinachoendelea? Labda kama error message?
 
Sina ujuzi sana na mac, unaweza weka screenshots na maelezo kidogo ya kinachoendelea? Labda kama error message?

Nimedownload kext za huawei aina ya TUSB 3410 ikaona hiyo TUSB 3410 kwa ajili ya CDMA ila niki-connect inafanya kama ina-connect kisha inakata.
 
Jamani mtu hatakama anania ya kusaidia lakini kwa maswali yenu mnaonekana kupinga badala ya kusapoti.
 
amesema swali lolote lihusulo computer sasa kwani hili la Huawei network connection sio swali?



Mkuu hapa tatizo sio swali,swala ni stlye mnayotumia kumuuliza maswali, tusifanye mashindano sisi wengine tunaelimika hapa jamvini, CALVIN POWER ni mtu mwenye upeo mpana lakini kuna maswali amemuuliza huyu bwana na sidhani kama maswali ya CP yamelenga kumchallenge huyu bwana, kitu kingine ukumbuke hapa jamvini anaweza swali akaulizwa drphone, lakini kabla drphone hajajibu unakuta mtu mwingine mwenye uelewa wa swala hilo anajibu swali kwa niaba ya drphone.
kuna watu wengi sana wanatembelea JF lakini hawachangii chochote wao huwa wanapenda kusoma nini kinaendelea kwenye hii forum. kwa hiyo wenzetu wenye uelewa mkubwa wa haya mambo pls msije kusababisha wengine tukakosa kujifunza, maana watu wengine wataogopa kujitokeza kwa kuogopa kukosolewa.
 
Mkuu hapa tatizo sio swali,swala ni stlye mnayotumia kumuuliza maswali, tusifanye mashindano sisi wengine tunaelimika hapa jamvini, CALVIN POWDER ni mtu mwenye upeo mpana lakini kuna maswali amemuuliza huyu bwana na sidhani kama maswali ya CP yamelenga kumchallenge huyu bwana, kitu kingine ukumbuke hapa jamvini anaweza swali akaulizwa drphone, lakini kabla drphone hajajibu unakuta mtu mwingine mwenye uelewa wa swala hilo anajibu swali kwa niaba ya drphone.
kuna watu wengi sana wanatembelea JF lakini hawachangii chochote wao huwa wanapenda kusoma nini kinaendelea kwenye hii forum. kwa hiyo wenzetu wenye uelewa mkubwa wa haya mambo pls msije kusababisha wengine tukakosa kujifunza, maana watu wengine wataogopa kujitokeza kwa kuogopa kukosolewa.

Mkuu lakini kukosolewa kukosoa ni sehemu ya kujifunza na kufundishana na kuelimika.

Kuna kitu kinaitwa constructive criticism. Sema kawaida yetu wengi wetu hatupendi kukosolewa kitu ambaco ni kibaya sana. Mara nyingi mtu anayekukosoa kama kaongea ukweli ndio anakujenga zaidi. Tusiwe kama wanasiasa ambao neno kukosea kwao ni mwiko.

Sasa mfano jamaa kasema mtu mwenye tatizo lolote la komyuta asema.

Kweli jamaa na amoyo na atafika mbali lakini inabidi akubali pia kuwa na yeye ana mambo mengi ya kujifunza kama tunavyojifunza wengi.

Mfano unemleta tatizo yeye anacopy na kupaste solution ya mtu bila hata kuongeza observation yake wala kutambua source ni kosa kubwa.

Haimanishi mimi wwe yeye au yule kutumia idea ya mtu sio mtaalam. Lakini ukificiha ukweli kwamba idea hii umeichukua kama ilivyo sehemu fulani hapo unakuwa sio mtaalam

Hizo sio Ethics za Ufundi
 
Matola hebu tazama tena maswali yangu, je hayana msingi kisha ndo ukosoe. Yeye ametoa thread kama mtu anayejua kila kitu. Mimi ni mtaalamu wa Mac na Pc lakini siwezi kujisifia kujua kila kitu na kujigamba kama hivi!
 
Nimedownload kext za huawei aina ya TUSB 3410 ikaona hiyo TUSB 3410 kwa ajili ya CDMA ila niki-connect inafanya kama ina-connect kisha inakata.
mhh! Ninavyofahamu mimi hizi ni driver za zile modem ziko kama simu ya mezani, am I right? Unaweza weka shot ya jinsi inavyofanya? Nina jamaa yangu mtumiaji mzuri wa Mac may be anaweza kuwa msaada
 
mhh! Ninavyofahamu mimi hizi ni driver za zile modem ziko kama simu ya mezani, am I right? Unaweza weka shot ya jinsi inavyofanya? Nina jamaa yangu mtumiaji mzuri wa Mac may be anaweza kuwa msaada

Ndio hii ni simu ya Mezani ya CDMA huwa naitumia kwenye PC kupata internet maana hata kwenye Win 7 huwa inagoma hata nikiingiza driver za Win XP kama Legacy driver, sasa nataka kuiunganisha kwenye Mac ndo inanisumbua, ni Huawei FWT TS2251
 
Matola hebu tazama tena maswali yangu, je hayana msingi kisha ndo ukosoe. Yeye ametoa thread kama mtu anayejua kila kitu. Mimi ni mtaalamu wa Mac na Pc lakini siwezi kujisifia kujua kila kitu na kujigamba kama hivi!


Hata mimi kwa kweli huyu bwana ananitia mashaka maana ameingia kwa kishindo lakini sioni akimwaga material, au yeye ana soft sheet nyingi the know how, ndio akadiliki kusema chochote kwenye computer yeye anafanya? maana baada ya kukaa na kutafakari kwa makini sidhani dunia hii kama kuna mtu amejariwa kujuwa kwa ufasaha vitu vyote viwili yaani hardware & software, labda wenzangu mnisaidie hilo.
maana nimefikia uamuzi wa kubadili mtazamo wangu kuhusu huyo bwana baada ya kusoma thread moja humu jamvini mtu anauliza jinsi ya kuunda computer yake, haya makubwa sasa madogo yana nafuu.
inawezekana humu kuna watu wana viwanda, au wana vichwa vidogo ambavyo vimebeba akili kubwa, ili nalo ni tatizo lazima kichwa hakitabaki salama.
 
Back
Top Bottom