Msaada ya kisheria kwa tatizo la ardhi

Msaada ya kisheria kwa tatizo la ardhi

hmkuwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
361
Reaction score
265
Awali ya yote nawasalimu wapendwa wa jf,

mwaka 2004 nilifanya kesi na mtu ambaye tulikuwa tunagombea shamba,mwaka 2006 baraza la kata aridhi lilinipa ushindi kuwa nile ni shamba langu halali na wakatoa siku 45 za kukataa rufaa kwa niliyemshinda,lakini hakufanya hivyo.

Ɓaada ya hapo kuna kipande niliƙiuza kwa watu kama 11. Mwaka 2011 yule mtu niliyemshinda akavamia lile eneo akiwa na watu kama watano hivi, nikapeleka taarifa sehemu husika lakini sikupata msaaɗa wowote na hadi leo hii huyu mvamizi bado yupo na anaendelea kuishi.leo tarehe 7/2/2020 nikaletewa wito na serikali ya mtaa,baada ya kufika nikakutana na kati ya mmoja ambae nimemuuzia akiwa kama mlalamiƙiwa kwamba analima sehemu ambayo sio yake.

Niliitwa pale ili kutoa ushahidi kwamba nililipataje lile eneo na yule mvamisi nae alitoa ushahidi amelipataje, ƴule mvamizi alisema ameuziwa na yule mtu ambaye nilimshindi 2006 maamuzi ya serikali ya mtaa ikatuamuru kwamba kila mtu alete hati ya kukazia hukumu ili ijulikane kwamba hili eneo ni nani mmiliƙi halali.

Naomba msaada wa jambo hili. Pia nataƙa kujua kma mtu hujakazia hukumu unakuwa huna nguvu ya kisheria hadi uwe na hati ya kukazia hukumu?

Naomba kuwazilisha.
 
Nipigie ktk 0693151733
 
Nenda kwa mwanasheria yeyote atakujazia fomu au maombi ya kaza hukumu ( application for execution) kisha utaiwakilisha katika baraza la ardhi na nyumba wilaya!! Utafunguliwa maombi madogo ( misc application) na itatolewa hati ya kumwita huyo jamaa aje aeleze kwanini hukumu isitekelezwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom