Msaada ya mwalimu wa english

Msaada ya mwalimu wa english

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
74
JAMANI naomba msaada
nahitaji kujua english language kwa ufasaha kwa muda mfupi
level yangu ya elimu ni chuo kikuu lakini english yangu ni mbovu sanaaa
natanguliza shukrani
 
Safi sana, kuliko kuficha ugonjwa.Maana unaweza kuumbuka, ngoja waliobobea kwenye lugha waje.Kila la kheri.
 
Mie niko tiyari kukusaidia ili ujue language, kifupi ni mwalimu mwenye uzoefu kazini kwa takribani miaka kumi na mbili nimehitimu shahada ya ualimu julai mwaka huu katika masomo ya linguistic na literature, ukivutiwa na wasifu wangu kifupi tuwasiliane kwa namba ya simu 0766634589. Pia naomba unijuze uko mkoa gan hapa tanganyika?
 
wakuu msaaada... mpaka sasa sijapata mwalimu wa kunisaidia... nipo dar
 
ulsoma chuo kikuu... Au basi anyway mi ni mwalim wa kingereza unakaa wapi ntakufundisha bure
 
kaka nipe number yako tuwasiliane......nipo dar mbezi
 
Safi sana, kuliko kuficha ugonjwa.Maana unaweza kuumbuka, ngoja waliobobea kwenye lugha waje.Kila la kheri.

mkuu umeniwahi na mimi nilikuwa nataka kusema hivyo. ni kweli kuna wahitimu wa chuo kikuu tena waliosoma lugha hawajui kiingereza, afadhali wewe umejiweka wazi mkuu. safi sana.
 
nataka kujua kuandika na kusoma

....na kusoma? wewe sio mhitimu wa chuo kikuu, unatukoga tu! kwanza hiyo namba ya mwalimu iliyotolewa mbona huipigi? you'ren't serious man!
 
....na kusoma? wewe sio mhitimu wa chuo kikuu, unatukoga tu! kwanza hiyo namba ya mwalimu iliyotolewa mbona huipigi? you'ren't serious man!
kaka zaidi ni kuongea.... na hiyo number niliyopewa hapo juu nimeipiga ila lamaa yupo mkoa
 
JAMANI naomba msaada
nahitaji kujua english language kwa ufasaha kwa muda mfupi
level yangu ya elimu ni chuo kikuu lakini english yangu ni mbovu sanaaa
natanguliza shukrani

sema.'msaada wa mwalimu wa kiingereza'.
 
asanteni kwa msaada wenu.... ila nimechoka kutafuta watu wamezoea uwongo
 
pole sana chuo kikuu kabisa hujui kusoma na kuandika kiingereza!..... wewe hufundishiki, unahitaji umtafute mtumishi wa Mungu kwanza akuombee....maana swali ulifaulu je chuo kikuu??
 
Ahsante kwa mchango wako.... watanzania wenzangu wameshindwa kunisaidia
 
Haina haja ya mwalimu rafiki kama tu ukizingatia four components of communication skills yaani reading skills, writing skills, speaking skills na listening skills. vifanyie mazoez hvyo vyote utabadilika. pata muda wa kuonge,kusikiliza,kusoma na kuandika
 
Kaka Ahsante saaana, kuna mtu unamjua ambae nimfuate ili anipe huo muongozo japo siku 3, nitampa chochote chakufutia jasho
 
Kwanini usiende British Council...pale mtasoma wengi, hivyo mazoezi kwa vitendo yatakusaidia....tatizo ada yake ni kubwa kwa wananchi walio wengi...
 
Kwanini usiende British Council...pale mtasoma wengi, hivyo mazoezi kwa vitendo yatakusaidia....tatizo ada yake ni kubwa kwa wananchi walio wengi...

Kaka ni ngumu... unajua now nipo chuo mm nataka nipewe muongozo tuu .
 
Back
Top Bottom