Msaada: Yadi inayokopesha magari

Msaada: Yadi inayokopesha magari

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Wakuu poleni na mahangaiko ya hapa na pale,

Naitaji gari la mkopo. Kama kuna mtu anajua yadi wanayokopesha magari kila mwez ukawa unalipa nitashukuru saaana na mashart yake.

Kama unajua 0769038065 no. Yangu.

Nashukuru sana
 
Jamani wapi huko....namimi niko mby nahitaji hiyo huduma, kigari kidogo cha wastani, kulipa kwa mwz si chini ya lak 3. Iwe yard au kwa mtu binafsi....bei ya chini.
 
mkalenda , unafahamu kwanini nchi yetu pamoja na misaada tunayopewa haiendelei??? Ni kwasababu ikichukua mkopo inapeleka kwenye expenses na sio investment. Ingekuwa serikali yetu inakopa kisha ina invest basi suala la budget ya serikali isingetegemea wahisani hata kidogo. Tafakari Kisha Chukua Hatua
 
Last edited by a moderator:

Kweli hii ndio Tanzania kwa kweli maan kunA uchangiaji mwingine ni kujidhalilisha kwa kweli au ufupi wa elimu au elimu viwango vidogo
 
Last edited by a moderator:
mkalenda , unafahamu kwanini nchi yetu pamoja na misaada tunayopewa haiendelei??? Ni kwasababu ikichukua mkopo inapeleka kwenye expenses na sio investment. Ingekuwa serikali yetu inakopa kisha ina invest basi suala la budget ya serikali isingetegemea wahisani hata kidogo. Tafakari Kisha Chukua Hatua

Vipaumbele vinatofautiana.
 
Last edited by a moderator:
ina maana madon wote wa Dsm hakuna aliyegundua deal hili la kukopesha manake majibu mnayotoa bado hayajamsaidia mdau.
 
Nenda bank kachukue mkopo wa kununulia gari period.
 
Back
Top Bottom