M MUHIZ Member Joined Apr 18, 2015 Posts 35 Reaction score 5 May 14, 2015 #1 Habar wanajf,nadhan leo ndio ilikuw siku ya utatuzi wa mgomo wa wanafunz kada za afya, hivyo kw mwenye taarifa naomba atujuze,natanguliza shukran.
Habar wanajf,nadhan leo ndio ilikuw siku ya utatuzi wa mgomo wa wanafunz kada za afya, hivyo kw mwenye taarifa naomba atujuze,natanguliza shukran.
tikitaka men JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 216 Reaction score 58 May 14, 2015 #2 vijana wa KIU tafadhali tupeni majibu au chenga zinaendelea.
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,986 Reaction score 5,058 May 14, 2015 #3 chuo cha kisanii hata graduates wake huwa hivyo hivyo!!