bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,999
Wakuu naomba kuuliza ni wap yanapopatikana mayai yatowayo kuku wa kisasa? Yan namaanisha ikiwa nina machine ya kitotolesha vifaranga na nina Hitaji kitotleshal vifaranga vya kuku wa nyama(broiler) au kuku wa mayai wap ntapata mbegu au mayai ya kufanya hivo? Asanteni