wana kuku wazazi mkuuHao interchick hupata wap hayo mayai au vile vifaranga?
Sawa mkuu, nashukuru ssnaholland wanauza hyline ambao ni kuku wa mayai... UK tunachukua kuku wa nyama na ufaransa tunachukua sasso na gharama ya kifaranga kimoja cha kuku mzazi ni dollar 45, kwa hiyo kwa mfugaji wa kawaida ni gharama ila kwa kampuni ni kitu cha kawaida mkuu