mimi kuna kipindi nilikuwa naugua ugonjwa wa UTI na baada ya kutumia madawa ya antibiotics kwa wingi ikanipelekea kupata fangasi katika mkojo lakin dawa yake ni moja tu fangasi hutibiwa kirahisi na garlic(kitunguu saumu)mpaka leo haijarudi hao fangasi kiufupi wameisha.
ila kama umeshapatiwa dawa endelea na hzo dawa na kama bdo haujapona hao fangasi wako chukua kitunguu saumu menya zile punje kisha uchukue punje tatu unatafuna(kama unaweza),au uziponde kisha kisha meza asubuh na jioni kwa siku 3 mpka tano halafu kapime hao fangasi wako watakuwa wameshakwisha kabisga
NB;usitumie garlic kama unapresha ya kushuka na kama unatumia antibiotic aina ya penicillin mfno ampicilin,amoxicillin,amoxiclav na nyengnezo.