apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
habari za LEO jamani, mimi ni kijana wa kiume ninasumbuliwa na uti, Mara kwa Mara mwili Wangu unachemka na kupata homa. baada ya kupima daktari aliniambia Nina fangasi wa njia ya mkojo ambao ndio hao yeast cells. je no kweli kwamba Hii ni fangasi na sio uti? je INA madhara gain kwangu? kwa sasa ninatibiwa na dawa za fluconazole je zitanisaidia maana daktari ameniambia wadudu Hawa ni ngumu kutoka hasa. naomba msaada niweze kupona. asante