Msaada: Yeyote aliyeko Makambako anisaidie blanket hii baridi itaniua leo

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kwa unyenyekevu kabisa Wana JamiiForums walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi.

Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya kawaida.
 
Baridi la hapo si la kitoto aisee. Nimepakumbuka kinoma
 
Chukua blanket mtu hapo chaap!
hakuna maagoti hapo
 
Kuna watu wana manyoya hapo ulizia bei maelewano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…