Msaada: Yeyote aliyeko Makambako anisaidie blanket hii baridi itaniua leo

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kwa unyenyekevu kabisa Wana JamiiForums walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi.

Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya kawaida.
 
Hii Hali kesho naondoka mwenye uhitaji na room ipo sabasaba Brock J Kodi ishalipwa miezi miwili anaweza kunipa nusu hasara 20000 room Iko vizuri umeme na maji ndani marumaru
Screenshot_20220702-180035.jpg
 
Kwa unyenyekevu kabisa Wana jamiiforum walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi.

Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya kawaida.
Baridi la hapo si la kitoto aisee. Nimepakumbuka kinoma
 
Kwa unyenyekevu kabisa Wana jamiiforum walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi.

Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya kawaida.
Chukua blanket mtu hapo chaap!
hakuna maagoti hapo
 
Kwa unyenyekevu kabisa Wana jamiiforum walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi.

Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya kawaida.
Kuna watu wana manyoya hapo ulizia bei maelewano
 
Back
Top Bottom